Afrika Kusini imeghadhabishwa na mtandao wa Rwanda uliomuita waziri wake "kahaba"

Haki miliki ya picha AFP Image caption Bi Sisulu alikosolewa na Rwanda kwa kukutana na mtoro na mkosoaji wa Rais wa Rwanda Afrika Kusini imemuita balozi wa Rwanda mjini Pretoria baada ya mtandao unaoipendelea serikali nchini Rwanda kumita “kahaba” waziri mmoja wa serikali ya Afrika Kusini. Lindiwe Sisulu, waziri wa masuala ya uhusiano wa kimataifa […]

Rais Museveni amteua Luteni kanali Edith Nakalema kuongoza kitengo kipya cha kupambana na ufisadi Uganda

Haki miliki ya picha Getty Images Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezindua kitengo kipya cha kupambana na rushwa na Ufisadi nchini Uganda na hasa katika idara zote za Serikali kuchunguza tatizo la rushwa. Rais Museveni ameeleza kuwa jukumu la kupambana na rushwa liko kwa wananchi, ambao amewataka kuwasiliana na kitengo hicho kipya kitakachohudumu moja kwa […]

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 11.12.2018: Hazard, Fabregas, Man, Slimani, Neves, Almiron

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Eden Hazard Mchezai wa Chelsea Eden Hazard, 27, tena amezungumzia kuhama kwenda Real Madrid na anasema kuwa hajui ni lini ataamua hatma yake. Lakini Mbelgiji huyo amekiri kuwa mazungumzo kuhusu mkataba mpya huko Stamford Bridge yamekwama. (RMC Sport via Express) Mkurugenbzi wa michezo wa AC Milan Leonardo […]

Mercy Opande, awanyamazisha waliomkashifu kwa umbo lake

Kwa mara nyingi mtunzi wa nyimbo kutoka Kenya Mercy Opande alikashifiwa kuhusu uzito wa mwili wake. Alishiriki mashindano mengi ya talanta, lakini alikataliwa fursa kwasababu ” hana umbo linalostahili la kuwa nyota.” Lakini akajiunga na mashindano ya kuimba ‘I Can Sing’ ya kituo cha TV nchini, KTN na huo ulidhihirika kuwa uamuzi ulioyabadili maisha yake. […]

Mvulana azua gumzo kwa kucheza na chui

Haki miliki ya picha Family handout Image caption Picha hii ya Tiago akiwa karibu na wanyama hatari imezua gumzo mitandaoni, huku baadhi yao wakitiliashaka uhalisia wake Picha inayomuonesha mvulana mdogo akiwa karibu na chui wawili ndani ya maji inaendelea kuzua gumzo katika mitandaoni ya kijamii Umaarufu wa picha hiyo umezua maswali kuhusiana na uhalisia wake. […]

Maua yanayovutia yanayobadilisha muonekano wa jangwa Afrika kusini ni kivutio cha utalii

Haki miliki ya picha Tommy Trenchard Wiki chache baada ya msimu wa kipupwe, mazulia ya maua ya porini yanajitengeneza juu ya ardhi yenye ukame iliyopo ukanda wa magharibi mwa bahari nchini Afrika Kusini na kusababisha muonekano wa kuvutia wa rangi za maua. Duniani kote maua ya aina hii uota katika maeneo ya jangwa lakini huwa […]

Picha ya nyani wawili waliopigwa na bumbuazi yashinda tuzo ya mwaka 2018

Haki miliki ya picha Marsel van Oosten / WPY Ni picha ya nyani wawili wenye pua mchongoko wakiwa juu ya mawe wakiwa wanaangalia kitu kwa mbali kwa umakini mkubwa. Ni kitu gani hicho wanachokiangalia, na wanafikra gani vichwani mwao? Jibu ni, wanaangalia ugomvi mkubwa wa baadhi ya nyani kwenye kundi lao kubwa. Picha hii yenye […]

Mabadiliko ya tabia nchi:Njia rahisi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Haki miliki ya picha Getty Images Ongezeko la gesi ukaa kwa kiwango kikubwa kumesababishwa na shughuli za kibinadamu , hivi karibuni uchunguzi wa kisayansi kuhusu mabadiliko ya tabia nchi umependekeza kuwa kusitisha ongezeko la gesi ukaa peke yake haitasaidia kukabiliana na ongezeko la joto kufikia nyuzi joto 1.5 au 2. Visiwa vya Pemba na Mombasa […]

Kwa Picha: Kenya Airways yaanza safari za moja kwa moja hadi Marekani

Haki miliki ya picha AFP/Getty Images Image caption Maafisa wa kipeperusha bendera za Kenya na Marekani kabla ya ndege aina ya Boeing 787-Dreamliner kuanza safari Jumapili Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, limeanzisha safari za ndege za moja kwa moja kati ya uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta na uwanja wa ndege wa Kimataifa […]