Habari mbalimbali kutoka ulimwengu wa michezo
Duru ya pili ya mchezo wa fainali klabu bingwa barani Afrika, inaanza muda mchache ujao kwa miamba Al Ahly ya Misri, na Esperance ya Tunisia kushuka dimbani. Al Ahly ina mtaji wa kuongoza kwa goli 3 kwa 1, ushindi uliopatikana katika mchezo wa awali mjini Alexandria, Misri juma lililopita, baada ya magoli mawili yenye utata kuamuliwa na teknolojia ya Video, iliyoanza kutumika katika kombe la dunia ya VAR.Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *