Magari ya usafiri wa umma Kenya yametakiwa kuafikia sheria iliyowekwaKufikia jumatatu wiki ijayo magari ya usafiri wa umma nchini Kenya yametakiwa kuafikia sheria iliyowekwa. Ni kufuatia makataa hayo ndipo wamiliki wa magari wamejizatiti ilikuzuia magari yao kukamatwa na mamlaka ya usafiri na usalama barabarani nchini Kenya,(NTSA).Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *